:: DuDumizi Solutions

(+255) 758 489 386 info@dudumizisolutions.com

Menu

Wajasiriamali Online Database

Online Database Development

dudumizisolutions-website-design

Wajasiriamali Online Database

Overview

“Mradi huu uliofanyiwa ubunifu wa hali ya juu kwa ngazi ya Kimataifa inahusisha Orodha ya Wajasiriamali wa Tanzania ambao ni moja ya Miradi ambayo inakusudia kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya Taifa la Tanzania. Malengo makuu ya Mradi huu ni kuwa kiungo baina ya Wajasiriamali wadogo, wakati na wakubwa wa nchini Tanzania dhidi ya Wanunuzi au Wasambazaji wa bidhaa au huduma zao Duniani kote”

Job Description

Fresh Developed Online Database
Secured Administration area for office use
Enable members to submit businesses
New Entry submission alert to office
Performance
Swahili & English
Visitors Analysis integration